Sunday, December 11, 2016

MKUU WA MKOA WA MBEYA AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWAJIBIKA NA KUWAHUDUMIA WANANCHI KWA KIWANGO CHA JUU


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Amos Mkalla akizungumza na Wafanyakazi wa sekta Mbalimbali katika siku ya Maadhimisho ya siku ya maadili, haki za binadamu(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)


Maandamano ya wafanyakazi kutoka Ofisi Mbalimbali yakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh william Ntinika(katikati) siku ya kilele cha Maadhimisho ya siku ya maadili.(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)



Picha ya Pamoja Mgeni Rasmi na wafanyakazi wa Takukuru.(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)

Picha ya pamoja Mgeni Rasmi na waandishi wa Habari siku ya Maadili Mkoani Mbeya

Picha ya pamoja Mgeni rasmi na watumishi wa Sekta Mbalimbali za Serikali(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)



MKuu wa Mkoa wa Mbeya Amewataka watumishi wa umma kuwajibika na kutoa huduma kwa wananchi kwa kiwango cha juu ili wananchi wazione ofisi za umma kimbilio Lao
Hayo ameyasema Leo katika maadhimishoya siku yamaadili mkoani Mbeya ambako maadhimisho hayo amefanya ka kikanda 

Amesema lazima watumishi wa umma wabadilike na kuacha kutumia muda mwingi kufanya shughuli binafsi wakati wa kazi na pia watumishi waache kauli za njoo kesho kufanya hivyo Ni kutengeneza chuki kwa wananchi dhidi ya serikali
Aidha urasimu wa maamuzi ni kiashiria cha kutaka rushwa .

 Baadhi YA watumishi huweka urasimu mkubwa katika kutoa maamuzi kwa lengo la kutaka rushwa na amewataka watumishi wa aina hiyo kubadilika mara moja
Amewataka wananchi kutoa ushirikiano katika mapambano ya Rushwa kwani kazi hiyo si ya Takukuru tu bali ni wananchi wote ili kutokomeza rushwa

0 Responses to “MKUU WA MKOA WA MBEYA AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWAJIBIKA NA KUWAHUDUMIA WANANCHI KWA KIWANGO CHA JUU”

Post a Comment

More to Read