Monday, March 31, 2014

BALOZI SABA ZA KATA YA ISANGA ZAUNGANA KUREKEBISHA MIUNDOMBINU YA BARABARA.

Baadhi ya kina mama wakiwa wanafanya maendeleo ya Mtaa.

Mwenyekiti wa mtaa wa mitaa  kata ya Isanga Bw Emanuel Mwaipaja akiwa anafanya maendeleo ya Barabara ya Mtaa.

balozi wa Mtaa wa Mitaa  Bw( Emanuel Malekela aliyeinama)akiwa anafanya Maendeleo ya Mtaa,aliye simama ni( Bw Hamis Mosh)

Picha na Fahari News.

JUMLA ya Barozi Saba katika Kata ya Isanga jijini Mbeya zimeungana katika  kutengeneza miundombinu ya barabara katika Mtaa  wa Mita  ambayo ilikuwa jatika hali mbaya mara baada ya kuharibiwa na mvua.

Akizungumzia hali hiyo Mmoja wa Mabarozi walioshiriki katika shughuli hiyo Ndugu Emanuel Malekela amesema wameamua kuchukua jukumu la kurekebisha barabara hiyo kutokana na kuwa tegemezi kwa mitaa hiyo.

Amesema kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakitoa mapendekezo kwa halimashauri  ya jiji juu ya kuwasaidia kutengeneza barabara hiyo lakini wamekuwa hawatekelezi kwa kudai kuwa barabara hiyo ni ndogo hivyo haifai kufanyiwa matengenezo.

Amesema mara baada ya Halmashauri ya jiji kuwakatalia juu ya kuboresha barabara hiyo waliamua kukutana viongozi wote wa mtaa na kuazimia kiboresha barabara hiyo kwa kuwashirikisha wananchi wa mitaa hiyo.

Amesema kwa kiwango kikubwa wananchi waliitikia wito huo na kujitokeza kwa wingi katika shughuli hiyo ya maenedeleo hali ambayo iliwatia moyo kuwa wanauwezo wa kufanya vitu vingine vya kimaendeleo bila kutegemea serikali.

Amesema nivema sasa wananchi wakaachana na utegemezi kwa wanasiasa au kuweka maslahi ya vyama badala yake waungane pamoja katika kuleta maendeleo katika maeneo yao.

Hata hivyo  wameiomba serikali  kupeleka vifusi vya udongo kwenye barabara hiyo ili kuongeza uimara zaidi hasa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ambazo zinaweza zikafanya uhalibifu kwenye barabara hiyo.
.
Hata hivyo kwa  baadhii ya wananchi wa mtaa huo wa Mita walioshiriki katika katika shughuli za ukarabati wa barabara hiyo wamesema kuwa wamepata moyo wa kushiriki katika shughuli za ukarabati wa barabara hiyo hasa kutokana na kushiriki kwa viongozi wao.

- See more at: http://jamiimoja.blogspot.com/2014/03/wananchi-sasa-waachana-na-utegemezi-kwa.html#sthash.6bMle87c.dpuf

0 Responses to “BALOZI SABA ZA KATA YA ISANGA ZAUNGANA KUREKEBISHA MIUNDOMBINU YA BARABARA.”

Post a Comment

More to Read