Klabu ya Azam FC
inawatakia kila la kheri wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Klabu
Bingwa Dar Young Africans ipate ushindi au sare na kuweza kuwatoa Al Ahly.
Ushindi wa Yanga leo ni ushindi wa watanzania wote.
Mungu Ibariki Yanga, Mungu Ibariki Tanzania
0 Responses to “ KAULI YA AZAM FC KWENDA KWA YANGA KATIKA MECHI YAO NA AL AHLY.”
Post a Comment