Sunday, March 9, 2014
MWANAFUNZI WA MZUMBE AJINYONGA HADI KUFA BAADA YA KUFELI MTIHANI
Do you like this story?
Jana Usiku nimepokea taarifa za kusikitisha toka
Mzumbe kutokana na kifo cha mwanafunzi aliyejinyonga baada ya kufeli....
Inasemakana kuwa Mwanafunzi huyo aliyekuwa anasoma Uchumi kwa ngazi ya Masters katika chuo hicho amejinyonga mpaka kufa baada ya matokeo kutoka jana na kuonyesha amefeli.
Taarifa toka eneo la tukio zimesema kwa sasa shughuli za mazishi zinaendelea nyumbani kwao Njombe

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MWANAFUNZI WA MZUMBE AJINYONGA HADI KUFA BAADA YA KUFELI MTIHANI ”
Post a Comment