Friday, March 14, 2014

RAIS WA BAYERN MUNICH AHUKUMIWA JELA MIAKA 3 KWA KUKWEPA KODI.




Munich. Mahakama kuu ya ujerumani imemtia  hatiani Rais Bayern Munich , uli hoeness kwa kosa la kukwepa kodi na sasa atakwenda jela miaka mitatu na miezi sita. Hoeness alishitakiwa kwa kosa  la kukwepa kodi ya euro 3.5  milioni. Lakini baadaye mwenyewe alikiri kuwa alikuwa na fedha  nyingine euro 15m . mwisho alibainika kuwa a likuwa ameficha kiasi cha jumla ya euros 27.2 millioni  mshambuliaji huyo wa zamani wa ujerumani mwenye miaka 62  alibainika na  kuficha fedha kwenye akaunti yake nchini uswis.

0 Responses to “RAIS WA BAYERN MUNICH AHUKUMIWA JELA MIAKA 3 KWA KUKWEPA KODI. ”

Post a Comment

More to Read