Monday, April 28, 2014

BASI LA RATCO LAPINDUKA KIBAHA PWANI, ABIRIA WALIONUSURIKA WATOLEWA KUPITIA MADIRISHANI..TAZAMA PICHA HIZI.





Basi la RATCO linalofanya safari zake Dar es Salaam kwenda Tanga limepata ajali eneo la Kibaha, Pwani leo jioni Aprili 27, 2014.

Kwa mujibu wa shuhuda aliyefika eneo la tukio alisema gari hilo lilipindukia ubavu baada ya kuacha njia.

0 Responses to “BASI LA RATCO LAPINDUKA KIBAHA PWANI, ABIRIA WALIONUSURIKA WATOLEWA KUPITIA MADIRISHANI..TAZAMA PICHA HIZI.”

Post a Comment

More to Read