Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,(katikati) akiungana na Viongozi,Wananchi katika kumuombe dua kwa
Kisomo cha Hitma iliyosomwa leo katika Ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini
Zanzibar,wakiwemo Rais wa Tanzania Alhaj Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais
mstaafu wa Tanzania Mzee Mwinyi,Rais mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid
Karume,Makamo wa Rais wa Tanzania Dk.Bilali,Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Viongozi wengine (wa pili kushoto). |
0 Responses to “HITMA YA MAREHEMU MZEE KARUME YASOMWA LEO ZANZIBAR”
Post a Comment