Monday, April 10, 2017

UJENZI WA MELI TATU BANDARI YA KYELA UTACHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI WA TANZANIA


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla mwenye suti nyeusi akiwa na kamati ya ulinzi na Usalama ya Mkoa na Wilaya ya Kyela mara Baada ya kutembelea kuona ukarabati wa Meli katika Bandai ya Kyela.(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)

Mwonekano wa Meli ya Mv Ruvuma ikiwa katika hatua ya Mwisho kukalimika(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla akipata maelezo kutoka kwa mtaalamu ambae ndio anaetengeneza Meli hizo bwana Songoro(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja wa Bandari ya Kyela Bw Ajuaye Msese(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)



 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akagua ujenzi wa meli Tatu katika Bandari ya Kyela.Meli moja yakamilika kukabidhiwa mwisho wa mwezi huu

 Asema uhusiano wa Tanzania na Malawi ni MZURI kuliko wakati wowote kukamilika kwa meli kutaongeza Biashara kati yaTanzania na Malawi 

 Awaomba wafanyabiashara na makampuni kujiandaa kutumia meli 2 za mizigo na moja YA abiria kwa ajili ya usafiri na usafirishaji wa bidhaa
 
Hata hivyo Serikali za Mikoa ya  Mbeya , Njombe na Ruvuma zaombwa kuboresha Barabara zote zinazoingia katika bandari
Mkuu wa Mkoa awataka wananchi kuacha kufanya shughuli za kijamii zinazosababisha kuongeza michanga na magogo kwenye eneo la bandari na kupunguza kina cha Maji na kuongeza tope bandarini

0 Responses to “UJENZI WA MELI TATU BANDARI YA KYELA UTACHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI WA TANZANIA ”

Post a Comment

More to Read