Friday, April 25, 2014
KAMATI YA TANZANIA KWANZA NJE YA BUNGE YATANGAZA SEHEMU ITAKAZOFANYA MAANDAMANO NA MIKUTANO YA HADHARA.
Do you like this story?
Kamati ya
Tanzania kwanza ya Nje ya Bunge Maalum la Katiba jana wametoa ya
moyoni mbele ya waandishi wa habari juu mwenendo mzima wa Bunge maalum la
Katiba baada ya kutoridhishwa na kuonyesha ni kwa jinsi gani wajumbe hawana
mapenzi ya dhati ya kutengeneza Katiba mpya.
Augstino
Matefu ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya Tanzania kwanza alianza kwa kusema:
"Ukiangalia wajumbe wengi wameweka maslai ya vyama na Taasisi zao na si Nchi kwani inaeleweka wazi mada ya kudai Katiba mpya ilibebwa na baadhi ya Vyama vya Siasa na Taasisi Fulani kwa lengo kudai muundo mzima wa kuunda Tume huru ya Uchaguzi"

"Lakini
cha kuchangaza watu hawa wameona na kukubali kutumiwa na Mataifa na Nchi za
Mataifa ya Magharibi kwa lengo la kuigawa Nchi yetu vipande vipande na
kwa lengo la kundi kutawala tena hususani kwa upande wa visiwa vyetu wakiamini
havina ulinzi na usalama mathubuti"
Kingine
walichokizungumza ni kuhusu Profesa Lipumba ambapo walisema:
"Kwa mfano Mh Prof Lipumba alipopokea taarifa za kuungwa mkono na baadhi ya Nchi ya Magharibi aliweza kufuata msimamo wake na kupinga makala aliyoitoa ya kuunga mkono muundo ulio asisiwa na hayati Mzee J.K. Nyerere na Mzee Karume."

Hii ni
ratiba ya Maandamano na Mikutano ya Hadhara itakayofanywa kikanda na Kamati ya
Tanzania kwanza nje ya Bunge.
1.
KANDA YA KASKAZINI (ARUSHA MH. DR
HALSON MWAKYEMBE NA SIXTUS MAPUNDA)
2.
NYANDA ZA JUU KUSINI (MBEYA MH. PROF
MWANDOSYA NA NDUGU ASENGA)
3.
KANDA YA MAGHARIBI (KIGOMA MH.
MWIGULU NA IDDI MAJUTO)
4.
KANDA YA KATI (DODOMA NA TABORA MH.
SAID NKUMBA)
5.
KANDA YA KUSINI (MTWARA MH. PANDU
AMIR KIFICHO)
6.
KANDA YA MASHARIKI (DSM MH. NAPE NA
MH. ABBAS MTEMVU)
7.
KANDA MWANZA (MH. PAUL MAKONDA NA
NDG MATEFU)
8.
ZANZIBAR (PEMBA MH. HAMAD RASHID NA
MH. RENATUS MHABI- KATIBU MKUU CCK (CHAMA CHA KIJAMII).
9.
UNGUJA (MH. MASAUNI NA MH. JUMA K.
SADIFA (KIBANDAMAITI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “KAMATI YA TANZANIA KWANZA NJE YA BUNGE YATANGAZA SEHEMU ITAKAZOFANYA MAANDAMANO NA MIKUTANO YA HADHARA.”
Post a Comment