Monday, April 28, 2014

WANAFUNZI WA CHUO CHA DIPLOMASIA WALIPOTEMBELEA BUNGE MAALUM LA KATIBA DODOMA.


Kutoka kushoto, George Faustine, Kennedy Ndosi, Ismail Shah na mshauri wa wanafunzi wa Chuo Cha Diplomasia wakijiandaa kuingia katika kikao cha Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma hivi karibuni.

 Mdau Kennedy Ndosi ( mwenye suti nyeusi na shati na mistari ) akiwa na wanafunzi wengine wa Chuo cha Kimataifa cha Diplomasia wakiwa katika picha ya pamoja na Niabu Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Mh. January Makamba mara baada ya kuhudhuria kuhudhuria kikao cha Bunge Maalum la Katiba hivi karibuni mjini Dodoma.

Wanafunzi wa Chuo Cha Kimataifa cha Diplomasia wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda katika viwanja vya Bunge, mara baada ya wanafunzi hao kutembelea Bunge Maalum la Katiba hivi karibuni. 

0 Responses to “WANAFUNZI WA CHUO CHA DIPLOMASIA WALIPOTEMBELEA BUNGE MAALUM LA KATIBA DODOMA.”

Post a Comment

More to Read