BASI
la abiria la kampuni ya Princess Muro lililokuwa likitoka Njombe kwenda Dar
limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro na kujeruhi watu kadhaa. Katika
ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha.
KAMA UNA MATUKIO KAMA HAYA AU MENGINE, TUTUMIE KUPITIA NAMBA YETU
YA WHATSAPP (0684607786)
0 Responses to “ BASI LA PRINCESS MURO LAPATA AJALI MIKUMI MKOANI MOROGORO, TAZAMA PICHA”
Post a Comment