Friday, May 23, 2014
DIAMOND TENA! SASA NI KATIKA TUZO ZA AFRIMMA 2014, ANASHINDANA KATIKA VIPENGELE VITANO...YUPO PIA BEN POL, MRISHO MPOTO NA SHEDDY CLEVER
Do you like this story?
Diamond |
Ben Pol |
Mrisho Mpoto |
Diamond, Ben
Pol, Sheddy Clever na Mrisho Mpoto wametajwa kuwania tuzo za Africa Music
Magazine Awards , AFRIMMA 2014.
Diamond ndiye
aliyetajwa kwenye vipengele vingi zaidi (5) vikiwemo Msanii wa mwaka, Wimbo wa
mwaka, Collabo bora, Video bora ya mwaka na Msanii bora wa kiume wa Afrika
Mashariki.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “DIAMOND TENA! SASA NI KATIKA TUZO ZA AFRIMMA 2014, ANASHINDANA KATIKA VIPENGELE VITANO...YUPO PIA BEN POL, MRISHO MPOTO NA SHEDDY CLEVER”
Post a Comment