Thursday, May 29, 2014
MATOKEO YA UCHAGUZI WA MALAWI KUTANGAZWA RASMI KESHO IJUMAA
Do you like this story?
Hatimaye tume ya uchaguzi nchini Malawi
imesema itatangaza matokeo ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo kesho ijumaa.
Uamuzi
huo unakuja baada ya mivutano na mapingamizi kadhaa kwenye mahakama kuu nchini
humo.
Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza ameeleza kutoka mji mkuu wa nchi hiyo Lilongwe kuwa sasa wananchi wa Malawi wameondolewa hofu ya kusubiri kwa muda mrefu matokeo ya kura za uchaguzi walioufanya juma lililopita.
Taarifa fupi iliyotolewa na tume ya uchaguzi jana usiku mjini Blantyre, imesema wameamua kutangaza matokeo hayo kwa kuzingatia sheria inayoibana kufanya hivyo ndani ya siku zisizozidi nane na ikiwa ni baada ya saa 48 tangu kumaliza hesabu ya kura.
Kwa siku mbili sasa kumekuwa na tuhuma za kuokotwa kwa baadhi ya masanduku ya kura, huku baadhi ya magari ya yakipatikana na masanduku ya kura na hata katika baadhi ya maeneo ambako ilielezwa kuwa kura zimehifadhiwa, usalama wake umesem Tume ya uchaguzi ya Malawi imesema itatangaza matokeo ya uchaguzi ijumaa.

Tangu
jumatatu tume hiyo imekuwa ikisubiri uamuzi wa mahakama kuu mjini Blantyre wa
kuiongeza muda wa angalau siku 30 kukamilisha jukumu ililopewa, hata hivyo
mahakama yenyewe bado ina mashauri mengine iliyopokea kuhusu uchaguzi huu
Mmoja kati ya wananchi wa nchi hiyo aliyejitambulisha kwa jina la Malani Nyirenda, alielezea hisia zake alipozungumza na BBC mjini Lilongwe kutokana na suala la kuchelewa kutolewa matokeo na mpango wa kuhesabu upya kura za baadhi ya maeneo.
Tume hiyo imesema hadi kufikia sasa imepokea malalamiko 275 na imekwisha yafanyia kazi malalamiko 170 tu.wa kuwa mdogo.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MATOKEO YA UCHAGUZI WA MALAWI KUTANGAZWA RASMI KESHO IJUMAA ”
Post a Comment