Friday, May 9, 2014

MONICA LEWINSKY AVUNJA UKIMYA KUHUSU MAPENZI YAKE NA RAIS BILL CLINTON.


Monica Lewinsky.

Rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton.


BAADA ya miaka 10 kupita toka Monica Lewinsky kuwa katika kashfa ya mapenzi na aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton sasa ameamua kuvunja ukimya ambao ulikuwa ukisambazwa na baadhi ya mitandao na Monica alitoa ukimya wake kwa kuanika siri zote katika jarida la Vanity Fair ambalo limetoka jana na litakuwa mtaani Mei, 13 ambapo alimuelezea Tyler Clementi, 19 kuwa alijinyonga baada ya kuona video yake mtandaoni iliyokuwa ikimuonesha akimbusu mwanaume mwingine.vyombo vingine vya habari.

Katika jarida hilo, Lewinsky alisema kuwa yeye na mama yeke wamekuwa wakighadhirika kwa maneno ambayo yalikuwa yakisambazwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuhusiana na kuhusishwa kwa kifo cha Clementi nakusema kuwa ni aibu na dharau kwa jamii.

Mbali na hiyo Lewinsky alielezea pia kuhusiana na kashfa iliyokuwa ikimuandama ya kuzushiwa kupewa dola milioni 12 (Sawa na sh.  za Tanzania) kwa kutokusema lolote ambapo alikanusha madai hayo nakusema kwamba anajuta mpaka leo kwa kile ambacho kimetokea kati yake na rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton.

0 Responses to “MONICA LEWINSKY AVUNJA UKIMYA KUHUSU MAPENZI YAKE NA RAIS BILL CLINTON.”

Post a Comment

More to Read