Friday, July 25, 2014

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUWAKUMBUKA MASHUJAA JIJINI MBEYA YAFANA.


Mnala  wa Kumbukumbu wa mashujaa jijini Mbeya


Wanajeshi wakiwa wamesimama kwa ukakamavu wakiimba wimbo Maalumu


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw Abbas Kandoro akiweka Ngao ya ishara ya kuwakumbuka wanajeshi katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa Jijini Mbeya.


Meya wa jiji la Mbeya Bw Atanasi Kapunga akiweka Mshare kwenye kumbukumbu ya kuwakumbuka mashujaa

Mmoja wa wazee waliopigana Vita Kuu Ernest Waya(92)akiwa ameshikiliwa kwenda kuweka Shoka kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa


Chifu wa mkoa wa Mbeya Roketi Mwashinga akiweka shada la maua


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw Abbas Kandoro akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Chunya Ndugu Deodatusi kinawilo.







Picha na Fahari News

0 Responses to “ MAADHIMISHO YA SIKU YA KUWAKUMBUKA MASHUJAA JIJINI MBEYA YAFANA.”

Post a Comment

More to Read