Wednesday, July 2, 2014

MWENGE WA UHURU WAKIMBIZWA WILAYANI MAKETE, MIRADI YA MAMILIONI YA FEDHA YAPITIWA


Mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro akipokea mwenge wa uhuru wilayani mwake katika kijiji cha Kimani kata ya Mfumbi wilayani hapo.

Wakiagana na kutakiana kila la heri.

Wakijiandaa kuondoka eneo la makabidhiano ya mwenge wa uhuru 2014. Taarifa kamili na picha zote za tukio hilo zitakujia.     

0 Responses to “MWENGE WA UHURU WAKIMBIZWA WILAYANI MAKETE, MIRADI YA MAMILIONI YA FEDHA YAPITIWA ”

Post a Comment

More to Read