 |
| Meza Kuu, Watoa Mada kwenye Fursa Mbeya |
 |
| Baadhi ya Wakazi wa Mbeya waliojitokeza kwa Wingi kusikiliza na Kujifunza Jinsi ya Kukamata Fursa Mbeya |
 |
| Mussa Hussein, Msema Chochote kwenye Shughuli nzima ya Fursa Mbeya |
 |
| Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi naye ni moja ya wale
waliojitokeza Kusikiliza Mada Mbalimbali kwenye Semina Maalum ya Fursa
huku akisifia Mada Muhimu zilizotolewa hapo. |
HUKO BABZ CAFFE NAKO HALI ILIKUWA HIVI MUDA MFUPI ULIOPITA;
 |
| Meza ya Majaji kushoto; Barnaba Boy, DJ. Fetty na Jaji Mwenyeji kutoka Mbeya "Gachi" |
 |
| Huyu ndio Mshindi wa Super Nyota Diva Merina Mwakalinga |
 |
| Hawa ndio Washiriki walioingia fainali kwenye Super Nyota Diva |
 |
| Hawa ndio washiriki wa Fiesta Super Nyota Diva |
 |
| Mshindi wa Super Nyota Diva akiwa katika picha ya pamoja na Majaji |
0 Responses to “LIVE; SHUGHULI MBALIMBALI ZINAENDELEA KWENYE MATAYARISHO YA FIESTA MBEYA”
Post a Comment