Friday, October 17, 2014

MKURUGENZI WA JIJI LA MBEYA AFUNGUA MAFUNZO MAFUNZO YA CHANJO MBEYA.


Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Bw  Musa Zungiza  akifungua mafunzo ya Chanjo.



Mganga Mkuu wa jiji la Mbeya Dkt Samuel Lazaro akitoa nasaha kwa washiriki wa semina hiyo katika ukumbi wa kanisa Kathoriki jijini






KAMPENI HIYO  YA UTOAJI WA CHANJO YA SURUA-RUBELLA ITAHUSISHA  WATOTO WENYE UMRI WA CHINI YA MIAKA 15, ITAKAYOANZA TAREHE 18 HADI 24 OCTOBA, 2014 KWENYE VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA, SHULENI NA VILE VITAKAVYOANDALIWA NA HALMASHAURI HUSIKA.

PAMOJA NA CHANJO HII, WATOTO PIA WATAPATA CHANJO YA POLIO, MATONE YA VITAMINI A PAMOJA NA DAWA ZA MINYOO.

CHANJO HII NI SALAMA NA ITAMKINGA MTOTO DHIDI YA MAGONJWA YA SURUA NA RUBELLA NA MADHARA YAKE.

CHANJO HIZI ZITATOLEWA BILA MALIPO. EWE BABA, MAMA, MLEZI HAKIKISHA MTOTO WAKO ANAPATA CHANJO.

0 Responses to “MKURUGENZI WA JIJI LA MBEYA AFUNGUA MAFUNZO MAFUNZO YA CHANJO MBEYA.”

Post a Comment

More to Read