Monday, October 13, 2014

TAIFA STARS YAGAWA KICHAPO CHA MBWA MWIZI KWA TIMU YA BENIN


Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao nne timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin.





Dogo muokota mipira akiisikilizia baridi iliyoambatana na kimvua cha kiaina.


0 Responses to “TAIFA STARS YAGAWA KICHAPO CHA MBWA MWIZI KWA TIMU YA BENIN ”

Post a Comment

More to Read