Wednesday, April 22, 2015
BAYERN MUNICH WEKA MBALI NA WATOTO, WAULIZE FC PORTO.
Do you like this story?
BAYERN
Munich imeichapa mabao 6-1 FC Porto ya Ureno katika mechi ya marudiano ya ligi
ya mabingwa ulaya iliyopigwa Allianz Arena, mjini Munich, Ujerumani.Watu wengi
walifikiri Bayern anatoka kutokana na kipigo cha 3-1 walichovuna jumatano
iliyopita, lakini walijidanganya licha ya timu hiyo kukosa baadhi ya wachezaji
nyota.
Katika
mechi hiyo ya marudiano ya robo fainali wenyeji hao walipata mabao yao kupitia
kwa Thiago Alcantara, Robert Lewandowski aliyefunga mawili, Thomas Muller,
Jerome Boateng na Xabi Alonso wakati wageni walipata bao pekee kutoka kwa
Martnez.
maana
yake munich wamefuzu kwa jumla ya mabao 7-4 dhidi ya wareno hao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “BAYERN MUNICH WEKA MBALI NA WATOTO, WAULIZE FC PORTO.”
Post a Comment