Friday, April 10, 2015
BREAKING NEWZZ! JULIO ATIMULIWA COASTAL UNION.
Do you like this story?
KOCHA wa
Coastal Union, Jamhuri Musa Kiwhelo 'Julio' ametyimuliwa baada ya kichapo cha
magoli 8-0 alichopata kutoka kwa Yanga jumatano ya wiki hii.
Taarifa za
ndani na za uhakika kutoka kwa viongozi wa Coastal, siku hiyo baada ya kipigo
walikubaliana kumtimua Julio na yeye alipewa taarifa hizo na kukubali.
Ili kulinda
heshima yake, Julio akaomba aongoze mechi ya jumamosi uwanja wa Azam Complex
dhidi ya Jkt Ruvu jumamosi ya wiki hii kwa nia ya kuogopa kudhalilishwa.
Baada ya mechi
hiyo dhidi ya kikosi cha Fred Minziro, Julio atatimka rasmi na kusubiri kuanza
maandalizi ya ligi kuu na timu yake, Mwadui fc.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “BREAKING NEWZZ! JULIO ATIMULIWA COASTAL UNION.”
Post a Comment