Friday, April 3, 2015
MOSHI WASABABISHA AJALI MBAYA MKWAJUNI JIJINI DAR
Do you like this story?
Waokoaji wakimtoa abiria aliyebanwa na vyuma. |
Gari lililokuwa likitokea Kawe kuelekea Kariakoo likiinuliwa. |
Mwonekano wa gari lililokuwa likitokea Makumbusho kuelekea Temeke. |
MAGARI mawili yanayosafirisha abiria jijini
Dar es Salaam, leo yamegongana katika ajali iliyotokea eneo la Mkwajuni na
kujeruhi vibaya abiria wake.
Mashuhuda wa tukio hilo wamesema ajali hiyo
imesababishwa na gari lililokuwa linatokea Kawe kuelekea Kariakoo lililokuwa
linafuka moshi na kusababisha njia nzima kujaa moshi na hivyo kusababisha
magari hayo kugongana na kuangukia bondeni.
Chanzo kutoka eneo la ajali kimesema majeruhi
wengi wamepelekwa hospitali ya Mwananyamala na Muhimbili ambapo hali zao
zilikuwa hazijulikani wakati mwandishi wa mtandao huu akitoka eneo la tukio.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MOSHI WASABABISHA AJALI MBAYA MKWAJUNI JIJINI DAR”
Post a Comment