Monday, November 9, 2015

RAIS DR MAGUFULI AMEVUNJA BODI YA TAIFA MUHIMBILI ILIYOMALIZA MUDA WAKE.DAR




Kufuatia ziara ya rais Dr Magufuli hospitali ya taifa Muhimbili kuibua mambo yasiyoridhisha rais amevunja bodi ya hospitlai ya taifa Muhimbili ambayo ilishamaliza muda wake na kumteua Prof. Lawrence Mseru kukaimu nafasi ya ukurugenzi mkuu wa hospitali hiyo kuchukua nafasi ya Dr. Hussein Kidanto ambaye amerejeshwa wizarani.

Taarifa ya katibu mkuu kiongozi Bw. Ombeni Sefue imesema rais ametoa muda wa wiki mbili kuhakikisha mashine za vipimo za MRI na CT-Scan vinafanya kazi.

0 Responses to “RAIS DR MAGUFULI AMEVUNJA BODI YA TAIFA MUHIMBILI ILIYOMALIZA MUDA WAKE.DAR”

Post a Comment

More to Read