Wednesday, November 11, 2015
MKUU WA WILAYA YA MBEYA AIGA STAILI YA MAGUFULI
Do you like this story?
MKUU wa wilaya
ya Mbeya, Nyerembe Sabi Mnasa, amefanya ziara ya kushtukiza katika Mamlaka ya
maji safi na usafi wa mazingira Jijini Mbeya na kutaka wateja wote kuingizwa
katika mfumo wa kompyuta.
Wakifurahia ujio wake, wafanyakazi wa mamlaka hiyo wamesema amewaongezea nguvu na hali ya kufanya kazi kwa kuzingatia taratibu katika awamu hii ya Hapa Kazi Tu
Wakifurahia ujio wake, wafanyakazi wa mamlaka hiyo wamesema amewaongezea nguvu na hali ya kufanya kazi kwa kuzingatia taratibu katika awamu hii ya Hapa Kazi Tu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ MKUU WA WILAYA YA MBEYA AIGA STAILI YA MAGUFULI”
Post a Comment