Sunday, April 5, 2015

REDIO MBILI ZAFUBWA BAADA YA SHAMBULIO LA GARASSA UNIVERSITY.




Mamlaka nchini Somalia imevifunga vituo viwili vya redio nchini humo baada ya kutangaza habari za wapiganaji wa Al-shabaab kuhusu shambulio la chuo kikuu nchini Kenya.
Kituo cha redio cha Sky FM na kile cha Shebelle
vilifungwa huku mtangazaji na mkurugenzi wakikamatwa.

Vikosi vya usalama nchini Somali vimekuwa vikiwakamata wanahabari ambao hufanya mahojiano na wapiganaji wa Al-shabaab ama kutangaza habari zao.

0 Responses to “REDIO MBILI ZAFUBWA BAADA YA SHAMBULIO LA GARASSA UNIVERSITY.”

Post a Comment

More to Read