Wednesday, April 1, 2015

WAKENYA WAMPONDA DAVIDO KWA SHOW YAKE YA DAKIKA 30, APORWA SIMU ZAKE




Inasemekana kuwa show yake ilidumu kwa takraban dakika 30 tu licha ya kuwa na kiingilio cha shilingi 45,000 za Tanzania. Msanii huyo alilipwa shilingi milioni 146 za Tanzania kutumbuiza kwenye show hiyo.

Baada ya show hiyo, msanii huyo anadai simu zake zote ziliibiwa alipokuwa kwenye club ya Skyluxx.

Baadhi ya watu waliohudhuria wanadai kuwa show yake ni mbaya zaidi kuwahi kufanywa na msanii wa nje ya Kenya. Kama ilivyokuwa kawaida ya Wakenya, wameanzisha trending topic iitwayo #DavidoInKenya wanayotumia kuponda show yake.

Hizi ni miongoni mwa tweets hizo:

Hahaha cant stop laughing, 40 min show for 2500 na ukiambiwa ulipe 500 K.N.T. unaona ni kama unaibiwa thats Naija 4u #Davidoinkenya

Kenyans should know @iam_Davido is not a good example of a real polished Nigerian. He’s just average hence his crew

#davidoinkenya so this concert was just a big flop kama ile ya machakos NewYear party. Kuharibia tu ntv jina. Hata Konshens haikuwa 2500?!

0 Responses to “WAKENYA WAMPONDA DAVIDO KWA SHOW YAKE YA DAKIKA 30, APORWA SIMU ZAKE ”

Post a Comment

More to Read