Friday, May 15, 2015
ISLAMIC STATE WAWACHINJA WAPELELEZI WATATU MTAANI NCHINI IRAQ
Do you like this story?
Mmoja wa wapelelezi hao akichinjwa na mpiganaji wa ISIS. |
Mpiganaji huyo wa ISIS akimchinja mpelelezi mwingne. Pembeni kushoto ni mwili wa mwenzake. |
Wapelelezi wawili waliouawa kwa kuchinjwa. Mpelelezi wa tatu hayupo pichani. |
WATU watatu wanaodaiwa kuwa wapelelezi wameuawa kwa
kuchinjwa na wapiganaji wa Kundi la ISIS nchini Iraq.
Watu hao wanatuhumiwa kwa kulipepeleza kundi hilo kwa ajili
ya serikali ya Iraq.
Picha zilizochukuliwa kutoka eneo la mauaji hayo zinaonyesha
watu wawili wakiwa wamepiga magoti huku mpiganaji wa ISIS akiwa amesimama
pembeni yao na panga mkononi kwa ajili ya kufanya mauaji hayo.
Picha hizo zilichukuliwa huko Kaskazini-Magharibi mwa Mkoa
wa Nineveh nchini Iraq.
Vitendo vya mauaji ya kuchinjwa
hadharani, kupigwa mawe na mauaji mengine kadhaa ya kutisha vimekuwa vikitokea
mara kwa mara vikilihusisha kundi hilo la ISIS.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ ISLAMIC STATE WAWACHINJA WAPELELEZI WATATU MTAANI NCHINI IRAQ ”
Post a Comment