Friday, May 15, 2015

UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KULA MKOANI MBEYA KUANZA RASMI TAREHE 19 MAY HADI 18 JUNE. ZOEZI HILI LITAFANYIKA KWA AWAMU NNE KATIKA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA.


Wananchi walioomba kuandikisha wapiga kura wakiangalia  Majina yao katika ubao wa Matangazo wa halmashauri ya jiji la Mbeya



hili ndilo tangazo la Ratiba ya uandikishaji kama lilivyotolewa na mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Mbeya

0 Responses to “UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KULA MKOANI MBEYA KUANZA RASMI TAREHE 19 MAY HADI 18 JUNE. ZOEZI HILI LITAFANYIKA KWA AWAMU NNE KATIKA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA.”

Post a Comment

More to Read