Monday, September 14, 2015

DK MAGUFULI AKABIDHIWA MSUMENO WA KUWAKATIA MAFISADI NCHINI‏


Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli (katikati) akishangiliwa na wananchi wenye ujumbe wa kumuunga mkono  huku akiwa na mfano wa msumeno wa kuwakatia wezi na mafisadi  akishinda urais wakati wa mkutano wa kampeni  mjini Igunga , Tabora jana.

Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi mjini Maswa ili achaguliwe kwa kura nyingi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu.


Mgombea ubunge Jimbo la Maswa kupitia CCM,Stanslaus Nyongo akijinadi kwa wananchi kwenye Uwanja wa Mpira mjini Maswa ambapo pia D.k Magufuli alifanya kampeni.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Abdalah Bulembo akielezea wasifu mzuri wa mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk Magufuli na kuwaomba wananchi kumpgia kura nyingi ili ashinde urais.


0 Responses to “DK MAGUFULI AKABIDHIWA MSUMENO WA KUWAKATIA MAFISADI NCHINI‏”

Post a Comment

More to Read