Tuesday, October 11, 2016

ZIARA YA SIKU MBILI YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UFUNDI MKOANI MBEYA.


WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako Akiuliza jambo kwa Kaimu Afisa Elimu Sekondari Mkoa Mara Baada ya kuwasili katika shule ya Sekondari Iyunga.(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)


WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako akikagua Moja ya Nyumba za  walimu ambazo zinatengenezwa na Serikali.


WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako akipata Maelezo kwa wanafunzi wa Umeme mara Baada ya Kutembelea Kalakana ya shule kujionea wanafunzi wanavyojifunza jifunza.

WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako akisalimiana na Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh Oran Njeza.



0 Responses to “ZIARA YA SIKU MBILI YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UFUNDI MKOANI MBEYA.”

Post a Comment

More to Read