Tuesday, October 11, 2016
KERO: WAFANYABIASHARA WAAMUA KUSAMBAZA KIFUSI AMBACHO KIMEDUMU ZAIDI YA MIEZI SITA JIJINI MBEYA.
Do you like this story?
Baadhi ya wafanyabiashara katika Barabara ya Lupa wakiwa katika kazi ya kusambaza Kifusi ambacho kimekuwa Kero kubwa sana katika Barabara hiyo((Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya) |
Kifusi ambacho kimekaa zaidi ya Miezi sita katikati ya Jiji la Mbeya Barabara ya Lupa. |
Kijana akisambaza kifusi ambacho kimekaa zaidi ya miezi sita.(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya) |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “KERO: WAFANYABIASHARA WAAMUA KUSAMBAZA KIFUSI AMBACHO KIMEDUMU ZAIDI YA MIEZI SITA JIJINI MBEYA.”
Post a Comment