Tuesday, October 11, 2016

MKUU WA MKOA AWATAKA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI HALMASHAURI YA MBEYA VIJIJINI KUSIMAMIA USAFI NA KUKOMESHA UTORO MASHULENI


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla akizungumza na Watendaji wa Vijiji na Mitaa.(Picha naDavid Nyembe wa Fahari News Mbeya)

Watendaji wa kata na Vijiji wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla.



Mkuu wa Mkoa wa Mbeya leo amekutana na watendaji wa kata na vijiji halmashauri ya Mbeya na kuwataka kusimamia usafi kuanzia uwanja wa ndege songwe,mji wa Mbalizi na maeneo yote ndani ya halmashauri ya Mbeya.

Amewataka watendaji kukomesha utoro mashuleni kwa kutembelea shule ,kupata mahudhurio yawanafunzi na kuwarejesha mashuleni wanafunzi wote watoro

Watendaji wa kata na Vijiji wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla.

0 Responses to “MKUU WA MKOA AWATAKA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI HALMASHAURI YA MBEYA VIJIJINI KUSIMAMIA USAFI NA KUKOMESHA UTORO MASHULENI”

Post a Comment

More to Read