Monday, November 9, 2015
RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA MUHIMBILI HOSPITALI
Do you like this story?
Rais
wa Tanzania Dk.John Pombe Maguli amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali
ya taifa Muhimbili kujionea hali ya utoaji huduma kwa wagonjwa.
Awali
Rais Magufuli alifika katika Hospitali ya Agha Khan kumjulia hali Mkurugenzi wa
kituo cha sheria na haki za binadamu Bi Hellen Kijo Bi.Simba anayepatiwa
matibabu na vipimo katika hospitali hiyo baada ya jana kupata ajali katika
makutano ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA MUHIMBILI HOSPITALI”
Post a Comment