Wednesday, June 29, 2016

IKIWA ZIMEBAKI SIKU CHACHE MAONESHO YA SABASABA KUFUNGULIWA KITAIFA JIJI DAR ES SALAAM,HII NDIO HALI HALISI


Wakina dada Wajasiliamali wakionesha kazi ya Mikono yao.(Picha na Dvid Nyembe wa Fahari News)


Viongozi Mbalimbali wakiwa wanapita katika mabanda Mbalimbali kujionea maandalizi hayo.(Picha na Dvid Nyembe wa Fahari News)



Baadhi ya Vijana nao hawakuwa Nyuma katika Maandalizi ya sabasaba.(Picha na Dvid Nyembe wa Fahari News)

Wakina Mama wajasiliamali kutoka Mkoa wa Njombe wakionesha kazi za Mikono yao.(Picha na Dvid Nyembe wa Fahari News)

Mwonekano wa  mabanda Mbalimbali ya Sabasaba(Picha na Dvid Nyembe wa Fahari News)



Hizi ni pembe za Ndovu.   


0 Responses to “IKIWA ZIMEBAKI SIKU CHACHE MAONESHO YA SABASABA KUFUNGULIWA KITAIFA JIJI DAR ES SALAAM,HII NDIO HALI HALISI ”

Post a Comment

More to Read