Wednesday, June 8, 2016

PICHA:MGAMBO JIJINI MBEYA KAZINI.


Mgambo wa jiji la Mbeya, Askari Polisi kwa kushirikian na wakala wa kukusanya Ushuru wakiwa wamembeba kuelekea ofisi za jiji Dereva wa Daladala yenya namna za Usajili T231 DDT safari zake Kutoka kituo Kikuu cha Mabasi kuelekea Nsalaga baada ya kudaiwa kugoma kulipa Ushuru kama alivyo kutwa na mpiga picha. (Picha na Kenneth Ngelesi


wakala wa kukusanya Ushuru wakiwa wamembeba kuelekea ofisi za jiji Dereva wa Daladala.




wakala wa kukusanya Ushuru wakiwa wamembeba kuelekea ofisi za jiji Dereva wa Daladala


0 Responses to “PICHA:MGAMBO JIJINI MBEYA KAZINI.”

Post a Comment

More to Read