Wednesday, October 22, 2014

TANZANIA NA CHINA WAFANAYA PAMOJA MAZOEZI YA KIJESHI


Wanajeshi wa Tanzania wakifanya mazoezi



Mkuu wa operesheni na utendaji kivita wa JWTZ, Meja Jenerali James Mwakibolwa, (Wapili kulia), akitazama silaha ya kivita, wakati wa maonyesho ya zana za kijeshi na uzinduzi wa mazoezi ya pamoja kati ya majeshi ya wanamaji kutoka China na Tanzania yaliyopewa jina la "Surpassing 2014" kwenye kamandi kuu ya wanamaji wa JWTZ, Kigamboni jijini Dar es Salaam leo.


0 Responses to “TANZANIA NA CHINA WAFANAYA PAMOJA MAZOEZI YA KIJESHI”

Post a Comment

More to Read