Monday, October 3, 2016

KIM KARDASHIAN APORWA VITU VYA THAMANI PARIS UFARANSA



Mwanamitindo maarufu Duniani kwa sasa Kim Kardashian jana alikuumbwa na kashia ya kukamatwa na majambazi ambao kwa bahati nzuri hawakumzuru bali kuiba mali zake za thamani ( vitu vingi vikiwa ni vya urembo) alipokuwa Paris Nchini Ufaransa.
 





Wakati tukio hilo linatokea mumewe ambaye pia Rapper mkubwa nchini Marekani Kanye West alikuwa kazini katika Tamasha la ‘Meadows Music and Arts’ New York Marekani, baada ya kupata taarifa hizo Kanye West alikatiasha kuendelea kuimba na kuomba radhi mashabiki wake kuwa kuna dharula imetokea kwenye familia yake na hivyo hana budi kusimamisha kuendelea na Show  ‘I'm sorry, family emergency. I have to stop the show’


Kanye West siku za hivi karibuni alitikisa vichwa vya habari duniani baada ya kutangaza rasmi kuwa ameamua kwa dhati kugombea Urais nchini Marekani ifikapo mwaka 2020.

0 Responses to “KIM KARDASHIAN APORWA VITU VYA THAMANI PARIS UFARANSA”

Post a Comment

More to Read