Friday, November 4, 2016

Model wa Nyimbo ya Salome akanusha habari zilizosambaa juu ya kifo chake






Baada ya habari za kifo cha model wa kibao kinachoendelea kufanya vizuri katika tasnia ya mziki Tanzania (Salome) ulioimbwa na Diamond Plutnumz na Rayvanny kuwa amepoteza maisha kufuatia kutekwa, kubakwa na kuuliwa kisha mwili wake kutupwa mtaroni. 

Model huyo kupitia kipindi cha XXL katika kituo cha redio cha Clouds FM amekanusha taarifa hizo na kusema sio za kweli kwani hata jina linalosambaa mitandaoni ni Juliana wakati yeye jina lake halisi ni Liliani. Akiongea na watangazaji wa kituo hicho alisema kuwa ameshtushwa sana na habari hizo kwani hamafahamu hata mtu aliyekutwa ana mkasa huo.
 

Juliana Mdada ambaye amefariki na kufananishwa na Lilian Model wa nyimbo ya Salome

0 Responses to “Model wa Nyimbo ya Salome akanusha habari zilizosambaa juu ya kifo chake ”

Post a Comment

More to Read