Wednesday, November 2, 2016
SIMBA YAENDELEA KUONYESHA UBABE YAMNYUKA STAND KAMBARAGE
Do you like this story?
Simba SC imevunja rekodi ya Stand United ya kutofungwa kwenye
uwanja wao wa nyumbani kwenye msimu huu, baada ya kuichapa kwa bao 1-0 kwenye
uwanja wa Kambarage, Shinyanga.
Shiza Kichuya aliifungia alikwamisha bao pekee kwenye mchezo huo
lililoipa Simba pointi tatu dhidi ya Stand United.
Awali Stand United walikuwa hawajapoteza mchezo kwenye uwanja wao
wa nyumbani, walipoteza mchezo wao wa kwanza kwenye ligi msimu huu waliposafiri
kuifuata Tanzania Prisons ambapo walifungwa bao 2-1 kwenye uiwanja wa Sokoine
jijini Mbeya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
.gif)


0 Responses to “SIMBA YAENDELEA KUONYESHA UBABE YAMNYUKA STAND KAMBARAGE”
Post a Comment