Friday, February 24, 2017

SHERIA YA KUONGEZA WACHEZAJI 4 YAANZA ENGLAND KOMBE LA FA



Chama cha soka cha England FA kimesema sheria ya kuingia wachezaji 4 itaanza kuanzia hatua ya robo fainali ya michuano FA pekee kwanza hivyo timu itaruhusiwa kuingiza wachezaji 4 endapo timu itaingia dakika 120 mchezaji ataruhusiwa kuingia.
Chama cha soka cha England mara zote kinakuwa cha kwanza kufanya mabadiliko pindi wakiona yanafaa kufanyika.
Kumbuka sheria ya maamuzi ya goli endapo litakuwa na mgogoro  wanatumia teknolojia kisha anaangalia katika saa na muamuzi atakubali kama goli.

0 Responses to “SHERIA YA KUONGEZA WACHEZAJI 4 YAANZA ENGLAND KOMBE LA FA”

Post a Comment

More to Read