Friday, February 24, 2017
WATU WENYE VIPARA WASHEREKEA SIKU YAO
Do you like this story?
Zaidi ya wanaume 30
wenye vipara kichwani nchini Japan wanaadhimisha siku kuu yao ya kila
mwaka inayoshirikisha mchezo wa kuvuta kamba.
Klabu hiyo ya wenye vipara inawajumuisha wananchama 65 kutoka maeneo tofauti nchini tangu ibuniwe 1989.
Lengo ni kuwahamasisha watu zaidi kuhusu watu wenye vipara
Mwenyekiti wa klabu hiyo Teijiro Sugo mwenye umri wa
miaka 70 alisema kuwa matumaini ni kwamba klabu hiyo ingewavutia
wanachama zaidi na kuwa kubwa zaidi.
''Nawataka wanaume wote walio na upara duniani kukongamana hapa ili kuanzisha michezo ya olimpiki'',alisema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “WATU WENYE VIPARA WASHEREKEA SIKU YAO”
Post a Comment