Wednesday, March 22, 2017

MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MBEYA (UWASA) WAADHIMISHAWIKI YA MAJI KWA KUFANYA USAFI KATIKA HOSPITALI YA WAZAZI META SANJALI NA KUTOA MISAADA YA VITU MNBALIMBALI


 kilele cha Wiki ya Maji Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi Jiji la Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kufanya usafi katika Hospitali ya Wazazi Meta na Kukabidhi vifaa vya safi katika Hospitali hiyo,Hata hivyo katika kuelekea katika kilele cha  siku ya maji kauli mbiu inasema Maji safi na Maji taka punguza uchafu yatumike kwa ufanisi

Usafi ukiendelea katika maeneo Mbalimbali ya Hospitali ya wazazi Meta

Usafi ukiendelea..........

Usafi ukiendelea katika maeneo Mbalimbali ya Hospitali ya wazazi Meta



0 Responses to “MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MBEYA (UWASA) WAADHIMISHAWIKI YA MAJI KWA KUFANYA USAFI KATIKA HOSPITALI YA WAZAZI META SANJALI NA KUTOA MISAADA YA VITU MNBALIMBALI”

Post a Comment

More to Read