Wednesday, March 22, 2017
SERIKALI YAFUTILIA MBALI LESENI ZA VIROBA
Do you like this story?
Serikali
imefuta usajili na utoaji vibali vya uzalishaji, uingizwaji, usambazaji
na uuzwaji wa pombe kali iliyofungashwa katika karatasi maarufu kiroba,
na pombe zilizofungashwa katika chupa ndogo zenye ujazo chini ya
mililita 200 kuanzia Machi Mosi, mwaka huu.
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
amesema hayo Dar es Salaam leo katika Mkutano wake na waandishi wa
habari.
"Kwa
viroba ambavyo tumevikamata tunasubiri maelekezo toka ofisi ya waziri
mkuu iwapo viharibiwe au virudishwe viwandani vikafungashwe katika
vifungashio vinavyokubalika kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)