Thursday, March 9, 2017
MANCHESTER CITY HOI KWA STOKE CITY-EPL
Do you like this story?
Klabu ya soka ya Manchester city wakiwa nyumbani
Etihad imelazimishwa sare tasa na Stoke city katika mchezo pekee wa ligi
kuu England uliopigwa jana usiku kufuatia matokeo ya bila kufungana
(0-0).
Manchester city bado imebakia katika nafasi ya tatu nyuma
ya Tottenham kwa alama 56 kwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa.
Ligi
kuu ya England inatarajia kuendelea tena machi 11 kwa michezo
mitatu,Bornemouth watawakaribisha West Ham United,Evertonni wenyeji wa
West Bromwich Albion na Hully city watakuwa wenyeji wa Swansea city.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MANCHESTER CITY HOI KWA STOKE CITY-EPL”
Post a Comment