Monday, April 24, 2017
Gwajima kununua treni ya umeme
Do you like this story?
Mchungaji
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema amedhamiria
kununu treni ya umeme baada ya Rais John Magufuli kuonyesha dhamira ya
kujenga reli ya kisasa(standard gauge).
Gwajima ameyasema hayo katika ibada ya Jumapili huku akimsifu Rais Magufuli kwa kuchukua hatua hiyo.
Alisema licha yeye ni mchungaji wa Taifa na anaamini ipo siku Dar es Salaam yote itakwenda kanisani kwake kusali.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Gwajima kununua treni ya umeme ”
Post a Comment