Wednesday, April 26, 2017
Tuko LIVE: Sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano – Dodoma,..tazama HAPA.
Do you like this story?
Sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibarzinafanyika leo April 26, 2017 mjini Dodomaambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli.
Tanganyika na Zanzibar ziliungana April 26, 1964 chini ya hayati Baba
wa Taifa, Mwalim Julius Nyerere na hayati Sheikh Abeid Karume.
Unaweza kufuatilia LIVE kwa kubonyeza play hapa chini…
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “Tuko LIVE: Sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano – Dodoma,..tazama HAPA.”
Post a Comment