Wednesday, June 11, 2014

MASHABIKI WATATU WAVAMIA KAMBI ENGLAND.



RIO DE JANEIRO, BRAZIL mashabiki watatu wa England walifanikiwa kupenda na kuingia  kwenye hotel iliyofikia timu  hiyo jijini rio na kukutana na kocha  na wachezaji  baada ya kuwaomba walinzi  kwamba wanataka kuingia chooni

Watatu hao walikunywa bia kidogo kabla ya kukutana na steven gerrard  na wenzake na kuwaomba wapige picha  na nyota hao wa England.

Gerrard , frank lampard, Daniel sturridge, joe hard na Leighton baines wote walikubali kupiga picha hizo  za kumbukumbu  za kombe la dunia baada ya mazungumzo marafiki hao watatu walishangilia kwa kunywa bia na kula chakula na kuondoka wakitumia mlango wa mbele ya hotel hiyo.

Mmoja wao alisema nilipojua kikosi cha England kimewasili rio nilitoka kitandani na kuanza akutafuta walipofikia tuliwapata sehemi inayoitwa royal tulip dereva tax kwanza alitupeleka  royal rio hotel lakini tuliwakosa

0 Responses to “MASHABIKI WATATU WAVAMIA KAMBI ENGLAND.”

Post a Comment

More to Read