Monday, September 12, 2016

WAFUNGAJI 10 BORA WA LIGI KUU TANZANIA BARA NA MECHI WALIZOCHEKA NA NYAVU.


Laudit Mavugo


MSHAMBULIAJI wa Azam FC na Timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars, John Raphael Bocco ndiye kinara wa ufungaji wa mabao ligi kuu soka Tanzania Bara mpaka sasa.

Bocco amezamisha kambani mabao matatu katika mechi nne alizocheza, akifuatiwa na Laudit Mavugo alifunga matatu pia kwenye michezo minne aliyokipiga na timu yake ya Simba, lakini  Bocco anakuwa juu yake kwasababu ya Tofauti ya Alphabeti ya mwanzo.





WAFUNGAJI 10 BORA 
NA
JINA
TIMU
IDADI YA MAGOLI
MECHI ALIZOFUNGA
1
John Bocco
Azam FC
3
Azam 1-1 African Lyon-Bao Moja

Azam FC 3-0 Maji Maji-Mabao mawili.
2
Laudit Mavugo
Simba SC
3
Simba 3-1 Ndanda-Goli Moja

Simba 2-1 Ruvu Shooting-Bao Moja

Simba 2-0 Mtibwa Sugar-Bao Moja.
3
Raphael Alpha
Mbeya City FC
3
Mbao 1-4 Mbeya City-Mabao mawili

Mbeya City 1-2 Azam-Goli Moja
4
Abdulrahman Mussa
Ruvu Shooting
2
Simba 2-1 Ruvu Shooting-Goli moja

Ruvu Shooting 1-0 JKT Ruvu-Bao moja.
5
Amissi Tambwe
Yanga SC
2
Yanga 3-0 Maji Maji-Magoli mawili
6
Deus Kaseke
Yanga SC
2
Yanga 3-1 African Lyon-Bao Moja

Yanga 3-0 Maji Maji-Goli moja
7
Ibrahim Hajib    
Simba SC
2
Simba 2-1 Ruvu Shooting-Bao moja

Simba 2-0 Mtibwa Sugar-Bao moja
8
Rashid Mandawa
Mtibwa Sugar
2
Mtibwa Sugar 2-1 Ndanda FC-Bao moja

Maji Maji 1-2 Mtibwa Sugar-Bao Moja
9
Abdallah Seseme
Mwadui
1
Mbao 0-1 Mwadui-Bao moja
10
Adam Kingwande
Stand United
1
Stand United 1-0 Toto African-Bao moja

0 Responses to “WAFUNGAJI 10 BORA WA LIGI KUU TANZANIA BARA NA MECHI WALIZOCHEKA NA NYAVU.”

Post a Comment

More to Read