Saturday, February 11, 2017
MBEYA YATEKELEZA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS LA KUFANYA MAZOEZI , MAMIA WAJITOKEZA KUFANYA MAZOEZI KATIKA VIWANJA VYA FFU
Do you like this story?
![]() |
| Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh Mh.William Ntinika (wa tatu kutoka kushoto)akiwa katika Mazoezi leo Asubuhi katika Uzinduzi wa Kitaifa wa Mazoezi ya Viungo |
| Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Mbeya Constantine Mushi katikati ambae ndio aliekuwa Mgeni Rasmi akiongoza Mazoezi leo asubuhi (Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya) |
| Mazoezi ya Viungo yakiendelea |
| Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Mbeya Constantine Mushi wa katikati akiwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Dhahiri Kidavashari(kulia)wakiwa katika Mazoezi ya Viungo katika Viwanja vya FFU |
| Mazoezi ya Viungo yakiendelea |
| Mazoezi ya Viungo yakiendelea |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.gif)


0 Responses to “MBEYA YATEKELEZA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS LA KUFANYA MAZOEZI , MAMIA WAJITOKEZA KUFANYA MAZOEZI KATIKA VIWANJA VYA FFU”
Post a Comment