Sunday, March 23, 2014
BUNGE LA KENYA LATOA KALI YA MWAKA, LARUHUSU WANAUME KUOA WANAWAKE WENGI KADRI WAPENDAVYO.
Do you like this story?
Bunge nchini Kenya limepitisha sheria
inayomruhusu mwanaume kuoa wake wengi atakavyo, na halazimiki kumshauri mke
wake juu ya uamuzi huo.
Katika marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya Kenya yaliyopitishwa Alhamisi iliyopita,ndoa zote zitatakiwa kusajiliwa na umri wa chini wa mwanamke kuweza kuolewa umewekwa ili kuzuia ndoa za mapema za watoto, hasa wasichana.
Siku hiyo ya Alhamisi Wabunge wote wanaume, ambao ni wengi, waliunga mkono kuondolewa kwa kipengele katika Sheria hiyo ya Ndoa kilichomtaka mwanaume afanye mashauriano na mkewe kwanza kabla ya kuoa mwanamke mwingine.
Wabunge wanawake walilaani hatua hiyo, walikuja juu na kususia kikao kwa kutoka nje wakidai Sheria hiyo haiwatendei haki wanawake

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “BUNGE LA KENYA LATOA KALI YA MWAKA, LARUHUSU WANAUME KUOA WANAWAKE WENGI KADRI WAPENDAVYO.”
Post a Comment